Mshambuliaji David Molinga amemalizana na uongozi wa Yanga na sasa yuko huru kutafuta changamoto mahali pengine
Nyota huyo amekabidhiwa barua yake kumtambulisha kuwa amemaliza majukumu yake na Yanga hivyo ni mchezaji huru
Anatajwa kuelekea kule nchini Morocco kujiunga na RS Bekane inayoshiriki ligi kuu
Kila la kheri 'Papaa' David Molinga 'Falcao'
ADVERTISE HERE