Abdul, Yondani bado hakijaeleweka

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Aug 2020
Abdul, Yondani bado hakijaeleweka

Mabosi wa Yanga bado wako kwenye majadiliano na wakongwe Kelvin Yondani na Juma Abdul ikielezwa bado hakuna makubaliano yaliyofikiwa kuhusu kuwaongeza mikataba

Mapema wiki hii Yanga ilitangaza kuachana na wachezaji 14 na wakati huo ikifanya mazungumzo na wakongwe hao ili waongezwe mikataba

Wakati taarifa zikibainisha kuwa Yondani amegomea kusaini mkataba kutokana na masharti yaliyowekwa, nae Abdul amegomea ofa aliyopewa na mabingwa hao wa kihistoria

Katika mahojiano na chombo kimoja cha habari, Abdul amebainisha kuwa hajakubaliana na ofa aliyopewa

"Mimi nimewapa mapendekezo yangu, mkataba ninaotaka mimi ni wa mwaka mmoja tu ili nifanye kazi lakini kiukweli sikubaliani na ofa waliyoniwekea mezani," alisema Abdul

Uongozi wa Yanga bado unafanya jitihada kuwashawishi wachezaji hao waweze kusaini mikataba ili kuendelea kubaki Jangwani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’