Mshambuliaji wa zamani wa Mbao Fc Waziri Junior ambaye sasa amejiunga na Yanga, ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa VPL kwa mwezi Julai 2020
Junior ametwaa tuzo hiyo kwa kuwashinda Peter Mapunda wa Mbeya City na Obrey Chirwa wa Azam Fc
ADVERTISE HERE