Kiondo nae amepandishwa timu ya wakubwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2020
Kiondo nae amepandishwa timu ya wakubwa

Mshambuliaji kinda Adam Kiondo msimu ujao atakuwa sehemu ya kikosi cha kwanza cha Yanga kitakachoshiriki ligi kuu ya Vodacom

Kiondo alikuwa timu ya vijana Yanga B, alipandishwa kikosi cha kwanza na aliyekuwa kocha wa muda na baadae kocha msaidizi Charles Mkwasa 'Master'

Kinda huyo atakuwa na nafasi kufuata nyayo za kina Yusufu Mhilu na Paulo Godfrey 'Boxer' ambao walifanya vizuri katika misimu yao kwanza baada ya kupandishwa kutoka timu ya vijana

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’