Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Simon Patrick amewaambia mashabiki waendelee kubaki na bando kwenye simu zao kwani utambulisho wa mlinzi wa kulia Kibwana Shomari ni mwanzo tu
Bado lile bomu litakalotikisa nchi halijaachiwa...!
Tuendelee kusubiri huku tukiwapongeza GSM na uongozi wa Yanga kwa kazi kubwa wanayofanya kwenye usajili
Kwani mpaka sasa nyota wote wa ndani waliosajiliwa na Yanga ni 'top players'
ADVERTISE HERE