Kiungo Raphael Daudi amechaguliwa kuwa nyota wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 10 kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City.
Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 5-0, Raphael Daudi akisababisha mabao mawili.
Daudi alitawala sehemu ya kiungo akishirikiana vyema na Pato Ngonyani huku Ajib, Martin na Buswita wakiwa sambamba pia.
Kazi yake nzuri kwa kushirikiana na wenzake wamemuwezesha Obrey Chirwa kufunga hat-trik yake ya kwanza msimu huu.

ADVERTISE HERE