Jana Yanga haikulipua bomu kubwa baada ya muda kuwa mchache na mambo kuwa mengi!
Antonio Nugaz, Msemamji na Mhamasishaji wa Yanga amesema hawataki kulipua bomu hilo kizani!
Mambo yatakuwa hadharani mchana kweupee ili kila mmoja aone
Ninachosema, huu moto waliouwasha GSM usije ukapelekea mpaka Bosi wao akaibukia huku...!
ADVERTISE HERE