Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera amejiunga na timu ya Gwambina Fc iliyopanda daraja msimu uliomalizika
Mcongomani huyo amerudi rasmi kwenye mikiki mikiki ya ligi kuu ya Vodacom msimu unaoanza Septemba 06
Kwa mara ya kwanza, GwambinaFc na Ihefu zitashiriki ligi hiyo baada ya kupanda kutoka ligi daraja la kwanza
ADVERTISE HERE