Klabu ya Yanga imetambulisha usajili wa winga Farid Mussa kutoka klabu ya Tennerife ya Hispania
Mussa ametua Yanga akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na Tennerife inayoshiriki ligi daraja la pili huko Hispania
Sasa sio tetesi tena ni rasmi!

Karibu Fariiiid...
ADVERTISE HERE