Yanga kutinga Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS)

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Aug 2020
Yanga kutinga Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS)

Uongozi wa klabu ya Yanga umeeleza kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji katika shauri dhidi ya mchezaji Bernard Morrison

Taarifa iliyotolewa na Yanga imebainisha kuwa timu hiyo inasubiri nakala ya hukumu ili iweze kukata rufaa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) ambayo Makao yake Mkuu ni nchini Uswisi

Uongozi wa Yanga umewataka Wapenzi, Wanachama na Mashabiki wake kuendelea kushirikiana na uongozi katika masuala mbalimbali ya Maendeleo

Aidha uongozi utaendelea kushirikiana na Wadhamini katika kuijenga klabu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’