Maproo kuanzia kumiminika wikiendi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Aug 2020
Maproo kuanzia kumiminika wikiendi

Kuanzia kesho Jumamosi, August 15 Yanga inatarajiwa kuanza kuwapokea nyota wake wa kigeni ambao wamekwama katika nchi zao kutokana na changamoto ya usafiri wa anga

Mapema wiki hii, Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said aliwahakikishia Wanayanga kuwa tayari wamekamilisha usajili wa nyota wa kigeni changamoto iliyokuwepo ni baadhi ya nchi hazijafungua usafiri wa anga kutokana na changamoto ya corona

Miongoni mwa wachezaji waliokwama ni pamoja na mshambuliaji Yacouba Sogne ambaye yuko kwao Burkina Faso

Sogne alipaswa kuwasili nchini mwanzoni mwa wiki hii

Lakin pia inaelezwa wapo wachezaji kutoka DR Congo, ambao ujio wao utafanywa 'suprise' kwa mashabiki

Ligi itaanza Septemba 06, hivyo ni wazi uongozi wa Yanga umelazimika kutafuta namna ya kuwapata nyota hao ili wawahi maandalizi

Aidha bado hatma ya kocha mkuu nayo inasubiri kuwekwa wazi, pengine mwishoni mwa wiki hii suala hilo nalo litakamilishwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’