Mkwasa atua Ruvu Shooting kuwa Kocha Mkuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Aug 2020
Mkwasa atua Ruvu Shooting kuwa Kocha Mkuu

Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Yanga Charles Mkwasa 'Master' amejiunga na Ruvu Shooting kuwa kocha mkuu akichukua nafasi ya Salum Mayanga aliyejiunga na Tanzania Prisons

Msemaji wa Ruvu Shooting Masau Bwire amethibisha Mkwasa kujiunga na timu hiyo ingawa hajaweka wazi amesaini mktaba wa muda gani

"Ni kweli Mkwasa kuanzia sasa ni kocha wetu lakini kuhusu mkataba wa muda gani tutasema baadaye"

Kila la kheri Master..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’