TFF 'yauma na kupuliza' sakata la Morrison

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Aug 2020
TFF 'yauma na kupuliza' sakata la Morrison

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania kupitia kwa Mwenyekiti wake, imwasilisha Malalamiko katika Kamati ya Maadili dhidi ya Wanafamilia watatu wa mpira wa Miguu kwa kuchochea hisia za Jamii na kutoa vitisho kuhusu shauri lililokuwa mbele yake

Taarifa ya TFF imewataja wanafamilia hao ni Mjumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF Zacharia Hans Poppe, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara na mchezaji Bernard Morrison

Pia Sekretarieti ya TFF imempeleka Mkuu wa idara ya Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Hassan Bumbuli katika Kamati ya Maadili kwa kutoa taarifa ya uongo

Wahusika watapewa Malalamiko dhidi yao kwa njia ya Maandisi pamoja na wito wa kuhudhuria kikao cha Kamati ya Maadili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’