Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na uongozi wa klabu ya Yanga, aliyekuwa Mkurugenzi wa Biashara na Masoko Robert Kabeya sio mfanyakazi tena wa Yanga
Taarifa hiyo imebainisha kuwa Kabeya hatakiwi kufanya jambo lolote kwa niaba ya klabu ya Yanga na kwamba klabu haitahusika na jambo lolote litakalofanywa nae

ADVERTISE HERE