Jarida moja huko DR Congo limeripoti ujio wa nyota wawili wa AS Vita kiungo mkabaji Mukoko Tonombe na Winga Tuisila Kisinda
Jana Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Yanga, alitua DR Congo kukamilisha usajili mafundi hao
Wanayanga wanasubiri kwa hamu 'breaking news', ya ujio wao
GSM waliahidi na pasipo na shaka, wanatekeleza..!
ADVERTISE HERE