Lwandamina kuamua hatma ya Matheo Antony

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Nov 2017
Lwandamina kuamua hatma ya Matheo Antony
Kagera Sugar na Lipuli FC zinamtaka mshambuliaji wa Yanga Matheo Antony kwa mkopo.

Hata hivyo licha ya Yanga kufikia makubaliano na timu hizo kwa nyakati tofauti, bado kocha George Lwandamina hajatoa ruhusa kwa mchezaji huyo kuondoka.

Moja ya masharti kwa timu hizo ni kuhakikisha Matheo anapata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza.

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amethibitisha Matheo Antony kutakiwa kwa mkopo na Lipuli FC lakini amesisitiza kocha ndiye atakayetoa maamuzi ya mwisho.

"Kocha ndiye mwenye kujua mapungufu ya timu yake na mahitaji hivyo sisi kama watendaji tumemfikishia mezani kwake na yeye ndiyo mwenye maamuzi ya kumruhusu au kumzuia Matheo kwenda Lipili FC," amesema Ten.

Matheo mwenye umri wa miaka 22 alisaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Yanga mwezi Julai mwaka huu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
8h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
12h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
13h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
13h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’