Chikupe atambulishwa KMC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Aug 2020
Chikupe atambulishwa KMC

Aliyekuwa beki wa Yanga Andrew Vicent Chikupe, amesajiliwa na KMC kwa mkataba wa mwaka mmoja

Chikupe ni miongoni mwa wachezaji walioachwa na Yanga baada ya mkataba wake kumalizika

Nyota huyo wa zamani wa Mtibwa Sugar, msimu uliopita haukuwa mzuri kwake ndani ya kikosi cha Yanga

Alikosekana kwa karibu nusu ya msimu baada ya kufanya mgomo na hata alivyorejea kikosini alishindwa kupenya kwenye kikosi cha Luc Eymael aliyekuwa kocha wa Yanga

Alidumu kwenye kikosi cha Yanga kwa misimu minne

Kila la kheri katika timu yake mpya..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
40m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’