Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua yakiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom pamoja na michuano mingine
Mabingwa hao wa kihistoria wanaendelea na program za mazoezi chini ya kocha Roedoh Berdien

ADVERTISE HERE