Kaseke aahidi msimu bora

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Aug 2020
Kaseke aahidi msimu bora

Kiungo kiraka Deus Kaseke amesema baada ya changamoto nyingi walizopitia msimu uliopita, msimu huu wamejipanga kufnya vizuri

Kaseke ambaye amepewa majukumu ya unahodha wakati huu akisubiriwa kocha mkuu, amesema kwa upande wake atahakikisha anaisaidia timu kufikia malengo

"Msimu mpya mara nyingi unakuwa na changamoto nyingi maana kila timu hujipanga kutokana na ushindani uliopo, nasi tumejipanga kuhakikisha tunafanya vizuri"

"Binafsi, namuomba sana Mungu anisaidie maana natarajia kufanya vyema zaidi ya nilivyofanya msimu uliomalizila ili kuipa mafanikio timu yangu nje na ndani ya uwanja," alisema Kaseke

Kaseke ni mmoja wa wachezaji waandamizi waliobaki kwenye kikosi cha Yanga, pamoja na nyota kama Haruna Niyonzima na Said Juma Makapu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’