Winga Farid Mussa leo ameripoti katika mazoezi ya kikosi cha Yanga yakiwa ni maandalizi ya kilele cha wiki ya Mwananchi pamoja na msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom
Baada ya kukamilisha usajili wake Yanga, uongozi wa mabingwa hao wa kihistoria ulimpa Farid mda wa kuweka mambo yake sawa
Ikumbukwe winga huyo mwenye kasi, makazi yake yalikuwa nchini Hispania alipokuwa akichezea klabu ya CD Tennerife iliyokuwa ikishiriki Segunda B
Sasa yuko tayari 'kukiwasha' ndani ya Wanajangwani...
ADVERTISE HERE