Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Senzo Mbatha, ametambulishwa rasmi ndani ya mabingwa wa kihistoria, Yanga
Senzo aliachana na Simba hivi karibuni baada ya GSM 'kufanya yao'
Wakati huu ambao Yanga bado haijabadili muundo wa uongozi wake, Senzo anatarajiwa kuwa mshauri wa Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla katika masuala mbalimbali
Uzoefu wake katika uongozi wa soka unatajwa kuwa sababu iliyowafanya GSM wamnyakue kutoka Simba
Karibu Jangwani Senzo Mazingisa Mbatha...!
ADVERTISE HERE