Mamia wajitokeza kuwapokea Kisinda, Mukoko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2020
Mamia wajitokeza kuwapokea Kisinda, Mukoko

Mchana huu wachezaji wawili waliosajiliwa na Yanga Tuisila Kisinda na Mukoko Tonombe wanatarajiwa kuwasili kutoka kule DR Congo wakiongozana na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said

Mamia ya mashabiki wa Yanga wamejitokeza kwa wingi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuwapokea nyota hao

Mapokezi haya yananikumbusha ujio wa Haruna Niyonzima mwaka 2012, alipata mapokezi makubwa tukio ambalo mwenyewe amekiri hatalisahau

Hili ni tukio la kipekee sana kwa wachezaji hawa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’