Shamrashamra za wiki ya Mwananchi zinazinduliwa leo Mkoani Dodoma, Makao Makuu ya nchi
Tukio Kubwa la uzinduzi linatarajiwa kufanyika asubuhi hii viwanja vya Mashujaa
Wanayanga mkoani Dodoma watakutana Tawi la Yanga Dodoma Makao Makuu, Mjimwema kisha wataelekea moja kwa moja uwanja wa Mashujaa
Kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi, Wananchi watajitolea a kufanya shughuli mbalimbali za kijamii
Mgeni rasmi wa tukio hilo mkoani Dodoma ni Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla
Hitimisho la wiki hiyo litafanyika jiji Dar es salaam pale Uwanja wa Mkapa ambapo Yanga itatambulisha kikosi chake kimpya pamoja na kucheza mechi ya kirafiki
ADVERTISE HERE