Mwamnyeto aleta GSM Cup, mechi kupigwa August 26

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Aug 2020
Mwamnyeto aleta GSM Cup, mechi kupigwa August 26

TAARIFA KUTOKA COASTAL UNION

Klabu ya Coastal Union inapenda kuwajulisha kuwa Agosti 26, mwaka huu itakuwa na mchezo wa kuwania Kombe la GSM (GSM Cup) dhidi ya Yanga utakaochezwa katika Uwanja wa Mkwakwani saa 10:00 jioni.

Mtanange huo ulitakiwa kuwa na mechi mbili za nyumbani na ugenini, lakini kutokana na kukosa muda wa kutosha itachezwa mechi moja na mshindi atatwaa Kombe la GSM.

Mchezo huo wa GSM Cup ulitokana na makubaliano ya mauzo ya mchezaji Bakari Nondo Mwamnyeto ambao unaweza kuwa endelevu kwa miaka ijayo na itaweza kushirikisha timu zingine mbalimbali. Asanteni

Rashid Mgweno,
Katibu wa Coastal Union

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’