August 30 ndio siku ambayo Wananchi watakamilisha jambo lao pale dimba la Mkapa ikiwa ndio siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi
Hii ni siku muhimu kwa kila shabiki na Mwanachama wa Yanga. Siku hiyo itaambatana na burudani 'kibao', kabla ya zoezi la utambulisho wa kikosi ambalo litafuatiwa na mechi moja ya kukata na shoka kati ya Yanga dhidi ya klabu moja kubwa barani Afrika kulingana na dokezo walilotoa Yanga mapema leo
Huenda siku hiyo Msanii wa Bongofleva Harmonize atakuwa sehemu ya Wananchi watakaotumbuiza katika tukio hilo
Leo Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said amemtambulisha Harmonize kuwa nae ni Mwananchi!
ADVERTISE HERE