Sababu ya Sogne kuchelewa yatajwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Aug 2020
Sababu ya Sogne kuchelewa yatajwa

Mshambuliaji mpya wa Yanga yacouba Sogne bado anasubiriwa kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria

Nyota huyo anatarajiwa kuwasili Alhamisi au Ijumaa kujiunga na wenzake baada ya kuomba udhuru kwa uongozi wa Yanga

Afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema licha ya lockdown kumalizika Burkina Faso, Sogne ambaye alitarajiwa kuwasili leo, aliomba siku tatu aweze kuaga familia yake

"Lockdown imeisha Burkina faso, na tulitarajia leo Jumatatu Yacouba atue nchini ila akaomba apumzike na kuiona familia yake kwa muda siku tatu hivyo tutarajie kumuona mshambuliaji wetu mpya Yacouba Songne Tanzania siku ya Alhamisi," amesema Bumbuli

Mpaka sasa ni wachezaji wawili wapya wa kigeni ambao bado hawajajiunga na wenzao, Sogne na carlinhos kutoka nchini Angola

Carlinhos anatarajiwa kuwasili kesho Jumanne, saa saba mchana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’