Yanga itashuka dimba la Azam Complex, Chamazi keshokutwa Jumamosi kucheza na Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 11.
Yanga imeendelea kufanya maandalizi yanayoongozwa na kocha Mkuu, George Lwandamina.

Mazoezi hayo yamekuwa yakifanyika kwenye uwanja wa Uhuru ambao hata hivyo hautatumika kwa ajili ya mchezo huo kwa kuwa utakuwa na matumizi maalumu ya Kiserikali

ADVERTISE HERE