Zoezi la kusambaza vifusi uwanja wa Kaunda linaendelea licha ya changamoto ya mvua zisizotabirika jijini Dar es salaam.
Uongozi wa Yanga umedhamiria kuhakikisha uwanja huo unatumika kwa mazoezi kuanzia mzunguuko wa pili wa ligi kuu ya Vodacom.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema zoezi la kusambaza vifusi linaendelea hasa nyakati za usiku na amewaasa wanachama na mashabiki wa Yanga kuendelea kujitolea kupeleka vifusi Jangwani.

ADVERTISE HERE