Rais Mstaafu Awamu ya Nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tukio la kilele cha wiki ya Mwananchi, litakalofanyika Jumapili August 30 katika uwanja wa Mkapa
Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa JK ambaye ni Mwanayanga 'kindakindaki', atawaongoza Wananchi katika siku hiyo adhimu ya utambulisho wa kikosi cha Yanga kuelekea msimu wa 2020/21
ADVERTISE HERE