Kocha Mkuu wa Yanga Zlatko Krmpotic ametua nchini leo tayari kuanza majukumu yake na mabingwa hao wa kihistoria
Jana Yanga ilimtangaza Zlatko kuchukua mikoba iliyoachwa na Luc Eymael aliyetimuliwa mwishoni mwa msimu uliopita
Zlatko raia wa Serbia alisaini mkataba wa miaka miwili na atasaidiwa na Kocha Msaidizi Juma Mwambusi
Karibu Jangwani Zlatko...!
ADVERTISE HERE