Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili na Ufundi klabu ya Yanga, Dominic Albinus maarufu kama Baba Paroko
Albinus pamoja na Kamati zake za ufundi na Usajili, wamefanya kazi kubwa katika usajili uliofanyika wakishirikiana vyema na Injinia Hersi Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM
Hawa ndio waliopambana kuhakikisha wanarejesha furaha za Wanayanga kwa usajili makini, hakika msimu mpya utakuwa wa burudani kwa mashabiki wa Yanga
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
Happy BirthDay Albinus...!
ADVERTISE HERE