Namuona Ibrahim Ajib ameanza kun'gara tangu atue kwa Wakimataifa. Mda sio mrefu mkali huyu atawekwa hadharani...!
Kosa lililofanywa kwenye usajili wa Kessy msimu uliopita haliwezi kurudiwa tena wakati huu wa Mkwassa!
Kinachosubiriwa ni siku kadhaa tu ili mkataba wake na Simba umalizike kabisa.

ADVERTISE HERE