Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja wa Mkapa tayari kwa mchezo wa wiki ya Mwananchi dhidi ya Aigle Noir
Kwa mara ya kwanza baadhi ya wachezaji wageni wamepata nafasi ya kukanyaga ardhi ya uwanja huo wakiwa ndani ya uzi wa Yanga






ADVERTISE HERE