Juhudi za kumbakisha mshambuliaji ambaye ni habari ya mjini kwa sasa, Obrey Chirwa zimeanza, Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga Hussein Nyika amedokeza.
Obrey Chirwa tayari ameifungia Yanga mabao sita msimu huu.
Uwezo alio uonyesha kwenye michezo ya hivi karibuni umewafanya viongozi wa Yanga waamue kumsainisha mkataba mpya ikiwa ni miezi sita kabla ya mkataba wake haujamalizika.
Mkataba wa Chirwa unatarajiwa kumalizika Juni 30, 2018.
Obrey Chirwa na Ibrahim Ajib wametengeneza pacha ya 'kutisha' kwenye kikosi cha Yanga msimu huu ambapo wawili hao wameifungia Yanga mabao 11.

ADVERTISE HERE