Duka la Yanga liko tayari

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Sep 2020
Duka la Yanga liko tayari

Klabu ya Yanga imekamilisha ujenzi wa duka lake la kisasa katika jengo la Makao Makuu ya klabu hiyo ambalo litauzwa jezi pamoja na bidhaa mbalimbali za Yanga

Duka hilo zitazinduliwa sambamba na uzinduzi wa jezi mpya kwa ajili ya 2020-21, taratibu za uzinduzi huo zikiendelea

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema kuzinduliwa kwa duka hilo kutaifanya Yanga kuwa klabu pekee hapa nchini kuwa na duka la aina hiyo katika jengo la Makao Makuu yake

"Tutaandika historia nyingine kwa kuzindua duka la kisasa pale Makao Makuu ya klabu. Uzinduzi huu utatufanya tuwe klabu ya kwanza kumiliki duka la kuuza jezi na bidhaa zake katika jengo lake," alisema Nugaz

Aidha kuhusu uzinduzi wa jezi, Nugaz amewataka Wanayanga wakae tayari kwani wataitisha tukio kubwa kwa ajili ya kuzindua jezi na baada ya kufanya uzinduzi jezi zitaanza kupatikana nchi nzima siku hiyohiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
26m ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
5h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’