Yanga kumiliki Studio ya Kisasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Sep 2020
Yanga kumiliki Studio ya Kisasa

Tunapozungumzia mabadiliko ndio haya sasa! Klabu ya Yanga imeanza mchakato wa kujenga Studio yake ambayo itatumika kuandaa vipindi vyake vinavyorushwa kupitia Chanel ya Yanga TV YouTube pamoja na Azam TV

Taarifa zilizopatikana mapema leo, zimebainisha kuwa, ujenzi wa Studio hiyo ya kisasa tayari umeshaanza ambapo uzinduzi wake utafanyika mapema mwakani

Aidha mabingwa hao wa kihistoria kuanzia mwakani watakuwa na chaneli yao maalum ambayo itarusha vipindi vya Yanga muda wote

Haya ni mapinduzi makubwa yanayokwenda kutokea sambamba na mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga

Kwa wale waliokuwa wanabeza ushirikikiano wa La Liga, Sevilla na Yanga katika kufanikisha mchakato wa Mabadiliko ya Mfumo wa Uendeshaji Yanga, wajiandae kwani watakosa pa kuweka sura zao pale mchakato wote utakapokamilika katika kipindi cha miaka miwili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’