Mwishoni mwa wiki hii siku ya Jumapili, kikosi cha Yanga kitaanza kampeni ya kuwania ubingwa wa ligi kuu kwa kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Mkapa, saa moja usiku
Huu ni mchezo muhimu sana kwa Yanga, mashabiki wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuishuhudia timu yao mpya iliyosheheni mafundi wa mpira
Yanga imetaja viingilio vya mchezo huo kuwa mzunguko ni Tsh 5,000/-, VIP B na C Tsh 10,000/- na V.I.P - A 15,000

ADVERTISE HERE