Wachezaji wapya wa kigeni klabu ya Yanga pamoja na makocha, wamepatiwa vibali vitakavowaruhusu kufanya kazi nchini
Sasa ni rasmi, Yanga inaweza kuwatumia kuanzia keshokutwa Jumapili kwenye mchezo wa kwanza wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons

ADVERTISE HERE