Tunaanza upyaa, 2020/21

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Sep 2020
Tunaanza upyaa, 2020/21

Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2020/21 inaanza leo kwa viwanja kadhaa kuwaka moto mabingwa wa kihistoria Yanga wakitarajiwa kushuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuumana na Tanzania Prisons katika mchezo ambao utapigwa saa moja jioni

Ni siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu, hesabu za kuwania ubingwa zinaanza rasmi pale kwa Mkapa

Kwa takribani wiki nzima, kikosi cha Yanga kimekuwa kikifanya mazoezi makali chini ya kocha Zlatko Krmpotic kujiwinda na mchezo huo

Shamra shamra za mashabiki wa Yanga kuelekea mchezo huo zimetawala kila kona, hii ni siku muhimu sana kwao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’