Tarehe kama ya leo alizaliwa, beki mahiri wa kulia wa Yanga, Kibwana Shomari
Shomari ni ingizo jipya kwenye kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria akisajiliwa kutoka klabu ya Mtibwa Sugar
Wanayanga wanafurahia uwepo wake kwenye kikosi chao kwani ameanza vyema majukumu yake
Bila shaka leo itakuwa siku nzuri kwake kwani baadae atakuwemo kwenye kikosi cha Yanga ambacho kitaikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa ligi
Happy BirthDay Kibwana...!
ADVERTISE HERE