Rostam kuijaza mapesa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2020
Rostam kuijaza mapesa Yanga

Wakati uongozi wa klabu ya Yanga ukiendelea na mchakato wa Mabadiliko ya mfumo wa Uendeshaji wa klabu hiyo, Mfanyabiashara Rostam Aziz ambaye anaidhamini Yanga kupitia kampuni yake ya Taifa Gas, ameonyesha nia ya kutaka kuwa Mwanahisa wa mabingwa hao wa kihistoria

Kulingana na Mwongozo wa Serikali, kama Yanga itafuata mfumo wa hisa, asilimia 49 zitagawiwa kwa Wawekezaji wasiopungua watatu wakati asilimia 51 zitabaki mikononi mwa Wanachama

Imeelezwa kuwa Roastam amefanya mazungumzo na uongozi Yanga ambapo amebainisha kuwa yuko tayari kuwekeza kwa kitita cha Tsh Bilioni 30 kununua hisa asilimia 29

Aidha, amebainisha kuwa kuwa asilimia 20 zitakazokuwa zimebaki zinaweza kuchukuliwa na Wawekezaji wengine wasiopungua wawili kwa mauzo yasiyopungua Tsh Bilioni 20 na hivyo hisa zote kuuzwa kwa wastani wa Tsh Bilioni 50

Inaelezwa pia Mnyabiashara huyo yuko tayari kuchukua jukumu la kujenga uwanja wa klabu ya Yanga kule Kigamboni katika eneo la ekari saba ambalo lilikabidhiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda mwaka uliopita

Kama hili litakamilishwa, litaifanya klabu ya Yanga kuwa ghali zaidi kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’