Zabuni ya Ujezi wa Uwanja Kigamboni kutangazwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Sep 2020
Zabuni ya Ujezi wa Uwanja Kigamboni kutangazwa

Kamati ya Ujenzi na Miundombinu klabu ya Yanga inayoongozwa na Mwenyekiti Mhandisi Bahati Mwaseba imekamilisha Awamu ya Kwanza ya ubunifu wa 'Complex' ya klabu ya Yanga kule Kigamboni

Kamati hiyo sasa inasubiri kutangaza zabuni kumpata Mnjezi atakayekamilisha Mradi huo utakaojumuisha ujenzi wa Uwanja na Akademi ya kisasa ya klabu huko Kigamboni

Injinia Mwaseba amesema ujenzi wa Mradi huo utawashirikisha Wadhamini pamoja na Wanayanga wote

"Tumekamilisha kazi ya michoro, hatua inayofuata ni kutangaza zabuni ili kazi ya ujenzi ianze rasmi kwa ushirikiano na wadhamini wetu na wanaYanga wote kwa ujumla wao", Injinia Mwaseba aliiambia tovuti ya Yanga

Yanga imejiwekea malengo kuanza mapema mradi huo hesabu zikiwa angalau kukamilisha kiwanja cha kufanyia mazoezi kabla ya msimu huu kumalizika

Mradi huo utakapokamilika, Yanga itamiliki viwanja vya kisasa kwa ajili ya mazoezi na mechi zote za ndani na hata za Kimataifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’