Fundi Carlos Fernandez 'Carlinhos', Mukoko Tonombe na Lamine Moro ndio wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Mbeya City ambao ulipigwa jana Jumapili uwanja wa Benjamin Mkapa na Yanga kuondoka na ushindi wa bao 1-0
Kama ilivyo kawaida, unaweza kumpigia kura mchezaji unayedhani anastahili kupewa tuzo hiyo kupitia ukurasa rasmi wa klabu ya Yanga mtandao wa Twitter yangasc1935
Mshindi wa tuzo hii anajipatia zawadi kutoka GSM kupitia udhamini wa godoro la GSM Foam pamoja na fedha taslim
ADVERTISE HERE