Carlinhos ashinda tuzo ya mchezaji bora vs Mbeya City

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2020
Carlinhos ashinda tuzo ya mchezaji bora vs Mbeya City

Kiungo fundi Carlos Fernandez 'Carlinhos' ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa kikosi cha Yanga katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City uliopiga jana Jumapili uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam

Pamoja na kucheza takrbani dakika 30 tu, Carlinhos alifanya mambo makubwa yaliyowashawishi mashabiki wa Yanga kumpigia kura kushinda tuzo hiyo

Carlinhos amepata asilimia 44% ya kura zote zilizopigwa akiwashinda Lamine Moro na Mukoko Tonombe

Yanga ilihitaji kushinda dhidi ya Mbeya City, mpira wake wa kona ndio uliosababisha bao lililofungwa na Lamine Moro kwenye dakika ya 87

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’