Tofauti kati yetu na wao iko hapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Sep 2020
Tofauti kati yetu na wao iko hapa

Mshauri wa Yanga Senzo Mazingisa amesifu mfumo wa uongozi wa ushirikiano Yanga huku akibainisha kuwa anafuraha kufanya kazi na mabingwa hao wa kihistoria kuliko huko alikotoka

Senzo amesema Wanayanga wanafanya kazi pamoja kuanzia Mwenyekiti, viongozi wa Kamati, Wadhamini, Wanachama na hata mashabiki na kuwa maamuzi yanayoyofikiwa katika masuala mbalimbali ni matokeo ya ushirikiano wa pande zote

"Jambo kubwa ambalo naliheshimu hapa Yanga ni kuwa timu hii sio ya mtu mmoja.  Yanga inaongozwa kwa ushirikiano wa watu tofauti. Kuna Mwenyekiti, Wajumbe wa kamati pamoja na Wadhamini, Wanachama na hata mashabiki"

"Maamuzi yoyote hutokana na majadiliano ya pende zote na ndio maana hata tulipoamua kuhamia Kigamboni 'Avic Town' uamuzi ulichukuliwa baada majadiliano na kuona kuna umuhimu wa timu yetu kuweka kambi kwenye mazingira mazuri kwa ajili ya maandalizi bora"

"Unajuwa kuwa na timu nzuri haitoshi kufanya maandalizi ya uwanjani pekee, kuna mambo ya msingi ambayo inapaswa yafanyike nje ya uwanja. Kimsingi, nimeridhishwa na utaratibu huu tunaoenda nao," alisema Senzo

Senzo aliachana nafasi ya Utendaji Mkuu wa Simba (CEO) na kujiunga na Yanga, akiwa chini ya GSM akipewa majukumu ya ushauri wa uongozi pamoja na kusimamia mchakato wa Mabadiliko ya mfumo wa Uendeshaji Yanga akiwa mshauri mkuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’