Majeraha yambakisha Shikhalo Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Sep 2020
Majeraha yambakisha Shikhalo Dar

Mlinda lango Farouk Shikhalo ni miongoni mwa wachezaji waliobaki jijini Dar es salaam akisumbuliwa na majeraha

Shikhalo alipata maumivu ya nyonga kwenye mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons uliopigwa mapema mwezi huu jijini Dar es salaam

Mkenya huyo ameungana na kiungo Mapinduzi Balama katika orodha ya wachezaji majeruhi

Aidha nyota wengine ambao hawakusafiri na timu Bukoba ni Juma Mahadhi, Paulo Godfrey, Abdulaziz Makame, Waziri Junior na Abdallah Shaibu 'Ninja'

Yanga itashuka uwanja wa Kaitaba kesho Jumamosi, kuwakabili wenyeji wao Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom raundi ya tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’