Mapema leo Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Fredrick Mwakalebela alitembelea Tawi la Klabu hiyo mkoani Kagera
Tawi hilo lilifunguliwa mwishoni mwa msimu uliopitwa wakati Yanga ilipokuwa Kagera kuwakabili wapinzani wao Kagera Sugar wanaocheza nao kesho Jumamosi


ADVERTISE HERE