Ni kazi moja tu Morogoro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Sep 2020
Ni kazi moja tu Morogoro

Vijana wa Yanga wanaondoka asubuhi hii Ijumaa kuelekea mkoani Morogoro tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Jamhuri

Mabingwa hao wa kihistoria, walikamilisha maandalizi yao ya mwisho jana katika viunga vyao vya mazoezi huko Kigamboni

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema ni kiungo Mapinduzi Balama pekee ambaye hatasafiri na timu mkoani Morogoro

Huu ni mchezo mwingine ambao Yanga inakwenda kusaka alama tatu ili kunogesha kampeni yao ya kusaka ubingwa msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’