Mabingwa wa kihistoria Yanga tayari wameondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Morogoro ambako siku ya Jumapili wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar
Yanga imeondoka ikiwa na silaha zake zote tayari kwa 'maangamizi' huko Morogoro




ADVERTISE HERE