Mchezo wa ligi kuu kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga unatarajia kupigwa kuanzia saa kumi Alasiri katika uwanja wa Jamhuri
Kocha Mkuu Zlatko Krmpotic amefanya mabadiliko madogo ya kikosi chake leo, akimjumuisha Carlinhos kwenye kikosi kinachoanza
Yanga inatarajiwa kuanza hivi ;Β
1. Metacha Mnata
2. Kibwana Shomari
3. Yassin Mustafa
4. Bakari Mwamnyeto
5. Lamine Moro
6. Feisal Salum
7. Zawadi Mauya
8. Mukoko Tonombe
9. Michael Sarpong
10. Carlinhos
11. Tuisila Kisinda
SUB
Farouq Shikhalo
Adeyum Saleh
Ditram Nchimbi
Deus Kaseke
Haruna Niyonzima
Yacouba Sogne
Abdulaziz Makame
ADVERTISE HERE